Tume ya IEBC yaagizwa kuangazia upya zabuni ya teknolojia ya uchaguzi
TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka ncini (IEBC) imeagizwa kufanya marekebisho katika zabuni yake ya ununuzi wa teknolojia itakayotumika katika Uchaguzi Mkuu wa 2027 baada ya Bodi ya U...