Wakenya mpakani Tanzania wadumisha ushirikiano licha ya agizo tata lililohusu wageni
WAKAZI katika mipaka ya Kenya na Tanzania, maeneo ya Taveta na Lunga Lunga wamedumisha ushirikiano wao licha ya matukio ya hivi majuzi nchini yaliyotishia usalama wa wafanyabiashar...