Wahudumu vituo vya mafuta katikati ya tanuri la moto - 1
Soma zaidi...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Bei Za Juu Za Mafuta.
Fresh curated links around Bei za juu za mafuta are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Soma zaidi...
Watumiaji wa mafuta nchini watalazimika kuongeza wastani wa zaidi ya Sh200 kwa kila lita ya petroli na dizeli watakayonunua mwezi Oktoba, kufuatia ongezeko la bei za bidhaa hizo li...
Soma zaidi...
Mradi wa kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima, Uganda, hadi Chongoleani, jijini Tanga, umefikia asilimia 92 ya utekelezaji, hatua inayoongeza matumaini ya kuanza kwa shughuli za k...
Kandambili, ukosefu wa vifaa kinga na mafunzo ya usalama kwa baadhi ya wahudumu wa vituo vya mafuta nchini si changamoto ya mfanyakazi mmojammoja, bali ni dalili ya mapengo katika...
Wakati Serikali ikifanya jitihada za kuhamasisha matumizi ya nishati safi, mamalishe katika Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wamelalamikia kupaa kwa bei ya gesi ya kupikia inayosabab...
MAMLAKA ya Kudhibiti Kawi na Petroli (EPRA) jana ilitangaza kuwa bei ya mafuta itasalia jinsi ilivyo mwezi huu hadi Oktoba 14, 2026. Licha ya mabadiliko ya bei za mafuta katika so...
Tanzania inatarajia kuanza kuzalisha gesi asilia kwa ujazo wa futi za ujazo milioni 40 kwa siku mwakani, hatua inayolenga kuongeza upatikanaji wa nishati kwa matumizi ya viwandani...
Mradi wa gesi asilia ya kimiminika (LNG) wenye thamani ya Dola bilioni 42 (zaidi ya Sh106 trilioni), unaotarajiwa kujengwa mkoani Lindi, umeingia hatua ya mwisho ya kisheria baada...
Zaidi ya viwanda 10 vilivyopo kati ya Mbagala na Kisemvule vinatarajiwa kuunganishwa na gesi asilia kuanzia Januari 2027, hatua inayolenga kupunguza gharama za uzalishaji na kuonge...
Kuna uwezekano wa gesi asilia kuwepo katika Bonde la Eyasi Wembere lililopo katika wilaya ya Kishapu, utafiti mkubwa unafanyika hivyo wananchi mnatakiwa kuchangamkia fursa kwa kubu...
KENYA imezindua rasmi ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta na bidhaa za petroli cha Dangote East Africa Petroleum Refinery and Petrochemicals SEZ katika Kaunti ya Lamu, m...
Wanafunzi 264 wa Shule ya Msingi Buguruni Viziwi wameanza kunufaika na jiko la kisasa linalotumia nishati safi ya kupikia pamoja na alama za usalama barabarani, baada ya shule hiyo...
Soma zaidi hapa...
Soma zaidi hapa...
Wajasiriamali wakiwamo Mama Lishe Wilayani Namtumbo, Mkoa wa Ruvuma, wameshauriwa kuachana na matumizi ya kuni na mkaa na badala yake kutumia nishati safi ya kupikia kwa ajili ya k...
Licha ya juhudi za Serikali kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia, bado kuni na mkaa zinaonekana kuwa chanzo cha kwanza cha nishati kwa Watanzania wengi wanapotaka kupika.
WAMILIKI wa matatu wameonya kuwa huenda nauli ikapanda kufuatia ongezeko la bei ya mafuta, wakisema hawawezi kuendelea kubeba gharama huku wakipata hasara. Chama cha Wamiliki w...
Tanzania imeingia katika hatua mpya ya kihistoria katika sekta ya nishati. Baada ya kukamilika na kuzinduliwa rasmi kwa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), wenye uwezo...
Soma hapa...
Soma zaidi hapa...
Soma hapa...
Soma hapa...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.