Latest updates for Bei Ya Mahindi Yaanza Kupanda

Fresh curated links around Bei ya mahindi yaanza kupanda are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Bei ya mahindi yaanza kupanda baada ya mavuno duni Bonde la Ufa
  • Njaa yanukia zao la mahindi likikabiliwa na changamoto tele North Rift
  • Mbeya yageukia mapinduzi ya kilimo cha shayiri, uzalishaji malighafi za viwandani

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Bei ya mahindi yaanza kupanda baada ya mavuno duni Bonde la Ufa

BEI ya mahindi imepanda kwa kasi katika maeneo mbalimbali ya Bonde la Ufa kutokana na mavuno duni yaliyosababishwa na mvua isiyotabirika. Hali hii inazua hofu ya ongezeko zaidi la...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Njaa yanukia zao la mahindi likikabiliwa na changamoto tele North Rift

WIZARA ya Kilimo imeanza uchunguzi wa kina wa hali ya mashamba ya mahindi katika eneo la North Rift huku hofu ikiongezeka kuwa mavuno ya mwaka huu huenda yakapungua kwa kiwango kik...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Mbeya yageukia mapinduzi ya kilimo cha shayiri, uzalishaji malighafi za viwandani

Serikali imeanza utekelezaji wa mkakati wa kuifanya Wilaya ya Mbeya kuwa kitovu cha uzalishaji wa shayiri nchini kwa kusambaza zaidi ya tani 10 za mbegu bora kwa wakulima kwa ruzuk...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wakulima wahimizwa kukumbatia nafaka zinazostahimili ukame

MABADILIKO ya tabianchi yameendelea kuathiri uzalishaji wa chakula nchini Kenya kutokana na mvua isiyotabirika, ukame wa mara kwa mara na ongezeko la joto. Hali hii imepunguza...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 days ago

Kenya kuagiza magunia milioni 25 ya mahindi ukame ukipunguza uzalishaji

KENYA inapanga kuagiza magunia milioni 25 ya mahindi ili kuziba pengo la nafaka hiyo lililosababishwa na ukame unaoendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini yanayotegemew...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Kiini kupanda kwa bei ya sukari chaanikwa

Hali hiyo imeongeza gharama za maisha na kupunguza uwezo wa wananchi kununua bidhaa hiyo muhimu.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /10 hours ago

Serikali yapunguza bei ya mbolea na mbegu za mahindi kuokoa wakulima Bonde la Ufa

SERIKALI imepunguza zaidi bei ya mbolea na mbegu za mahindi katika juhudi za kuwasaidia wakulima wa Bonde la Ufa waliopata hasara kutokana na ukame. Bei ya mfuko wa kilo 50 wa mbo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Matunda ya ubinafsishaji wa kampuni ya sukari ya Nzoia Sugar yaanza kuonekana

NI mwamko mpya kwa wakulima wa miwa katika Kaunti ya Bungoma, baada ya kampuni ya kutengeneza sukari ya Nzoia kuripoti kuwa imelipa wakuzaji zaidi ya Sh700 milioni tangu irejelee s...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Zanzibar inavyoanza kujitegemea uzalishaji wa nyama, mboga na viungo

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeanza kutekeleza mkakati wa kuongeza tija katika sekta ya kilimo na mifugo, hatua inayolenga kupunguza utegemezi wa kuagiza mazao na bidhaa za mifu...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Mfumo wa kidijitali kufungua masoko ya mikunde

Wakulima wa mazao ya jamii ya mikunde nchini wanatarajiwa kunufaika na mfumo mpya wa kidijitali utakaowaunganisha na wanunuzi, wafanyabiashara na wadau wa sekta hiyo, huku ukiwawez...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Hali ilivyo sabasaba, kumeanza kuchangamka

Hali imeanza kuchangamka nje ya geti katika Maonyesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam, maarufu Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, wil...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Jinsi ya kulima maparachichi ya masoko ya ng’ambo  

KILIMO cha maparachichi kimekuwa miongoni mwa biashara zenye faida kubwa nchini Kenya kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya matunda hayo katika masoko ya ndani na nje ya nchi....

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Bajeti ya 2026/27 inavyoanza kung’ata leo

Soma hapa...

Read source
agriland.ie /3 days ago

Forage maize harvest expected to get underway in early September

The 2026 forage maize harvest looks set to get underway at the beginning of September, with many crops ready for cutting within the first fortnight of the month. This will be the e...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Kagwe asema nchi haitalemewa na njaa licha ya mabadiliko ya tabianchi

SERIKALI inapanga mikakati ya kuwasaidia wakulima kukabiliana na athari za ukame huku kipindi kirefu cha kukosekana kwa mvua kikitishia uzalishaji wa mahindi katika baadhi ya maene...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Wakulima wa mahindi wazongwa na madeni kutokana na mavuno duni msimu huu

MAMIA ya wakulima wa mahindi katika Bonde la Ufa wanakabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni baada ya ukame, uhaba wa mbolea na mashambulizi ya viwavi jeshi kuharibu mazao yao. Hii i...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Mashine hii mahuluti inafanya shughuli kibao shambani kuwa rahisi

KILIMO cha usahihi [Precision Agriculture kwa Kimombo] kinaendelea kupata nguvu barani Afrika huku teknolojia zake za utekelezaji zikinuia kuwasaidia wakulima wadogo kuongeza kiwan...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Kibano ufungaji holela ving’ora, vimulimuli

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Watengenezaji wa chakula cha mifugo wahamasisha kilimo cha mahindi ya manjano kuziba pengo la malighafi

MABADILIKO ya tabianchi, ukame wa muda mrefu na mvua zisizotabirika vinaendelea kuathiri uzalishaji wa mazao nchini Kenya, hali inayowasukuma watengenezaji wa chakula cha mifugo ku...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Hemed awahimiza vijana Zanzibar kugeukia kilimo

Hemed ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Julai 6, 2027 katika shamba la kilimo Mtule Paje, Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kutembelea mashamba ya mpunga, kil...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Bei ya sukari yapaa, wananchi walalama, sababu yatajwa

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Afrika yatakiwa kuwekeza zaidi kwenye ubunifu wa kilimo

AFRIKA inapaswa kuendelea kuwekeza katika ubunifu wa kilimo na kuharakisha matumizi ya teknolojia zilizothibitishwa ili kuongeza kiwango cha uzalishaji wa chakula, kupunguza uagiza...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Kilimo cha pamba si cha Kubahatisha-Mwanri

Balozi wa Pamba Tanzania, Agrey Mwanri amewataka wakulima kuachana na utaratibu wa kurusha mbegu ovyo mashambani na badala yake kuzingatia kanuni za kilimo bora ili kuongeza uzalis...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Ileje kuja na mkakati ujenzi masoko ya kisasa kuimarisha kilimo

Serikali ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imepanga kuja na mkakati wa ujenzi wa masoko ya kisasa ya mazao pamoja na kuimarisha mfumo wa ushirika, lengo likiwa ni kuongeza thamani y...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Bei Ya Mahindi Yaanza Kupanda

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

agriland.ie

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source