‘Nyama ya bata ni tamu’: Jinsi ufugaji wa mabata unalipa ukifanywa vyema
SUSAN Wairimu Kamau, ni mfugaji mabata aina ya Muscovy katika eneo la Elburgon, Kaunti ya Nakuru. “Mwaka wa 2020, nilishawishiwa kuanza kilimo hiki cha kufuga mabata na rafiki yan...