Ajabu bunduki ya jaji Muchelule kuhusishwa na ujambazi Nairobi, Kiambu na Kilifi
BUNDUKI iliyoibwa kutoka kwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Aggrey Muchelule mnamo 2025 imehusishwa na uvamizi dhidi ya wateja wa mkahawa mmoja eneo la Westlands wiki iliyopita. Sila...