Ajabu kituo cha afya kilichokuwa tegemeo kwa wakazi chabadilika makazi ya nyoka
Kituo cha Afya cha Kimalel, Baringo Kusini, kilikuwa zaidi ya kituo cha afya cha kawaida vijijini; kilikuwa nguzo ya uhai, mahali ambapo matumaini yalichipuka na maisha kuokolewa....