Latest updates for Baraza La Wazee Wa Luo

Fresh curated links around Baraza la Wazee wa Luo are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Baraza la Waluo lapoteza ushawishi wazee wakizozania uongozi
  • Maadhimisho ya Raila – Vijana na wazee wakumbuka wosia wake
  • Maoni mseto Rais akimpa mzee wa Waluo gari ya mamilioni kama zawadi

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Baraza la Waluo lapoteza ushawishi wazee wakizozania uongozi

JAMII ya Waluo inakabiliwa na mgawanyiko mkubwa wa uongozi, wazee wakigawanyika katika makundi mawili yanayodai kumtambua kiongozi halali wa Baraza la Wazee wa Waluo. Upande mmoja...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Maadhimisho ya Raila – Vijana na wazee wakumbuka wosia wake

WAKAZI wa Kisumu wameheshimu wosia wa marehemu Raila Odinga wa kuhimiza mazungumzo kati ya vijana na wazee kuhusu changamoto za kijamii, kisiasa na kiuchumi zinazokabili jamii....

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Maoni mseto Rais akimpa mzee wa Waluo gari ya mamilioni kama zawadi

ZAWADI ya gari jipya aina ya Toyota Prado TX lililotolewa na Rais William Ruto kwa mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Luo, Ker Odungi Randa, imeibua mjadala mkali wa kisiasa katika e...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto akabiliwa na ugumu wa kuridhisha wapigakura wa Nyanza

RAIS William Ruto anakabiliwa na kitendawili cha kuvutia uungwaji wa wapigakura wa Luo Nyanza, ikisalia miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu 2027. Kilichosawiriwa kama ishara ya...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Winnie Odinga apewa baraka za wazee amrithi babake Raila

MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Winnie Odinga, Jumamosi, alitawazwa kwa njia ya ishara na baadhi ya wazee wa jamii ya Waluo kuwa mrithi wa kisiasa wa babake marehemu Rai...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Ziara ya Ruto Nyanza yaacha makovu ODM 

ZIARA ya siku tano ya Rais William Ruto Luo Nyanza wiki iliyopita iliacha makovu ya uhasama na mgawanyiko wa kisiasa kati ya baadhi ya viongozi wa eneo hilo hasa kampeni za uchaguz...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Sifuna, Kalonzo wapigania jina ‘Ukombozi’

CHAMA cha Wiper Patriotic Movement kinachoongozwa na Kalonzo Musyoka kimeeleza kwa mara ya kwanza jinsi kilivyotwaa jina The Ukombozi Alliance (TUA), huku mzozo kuhusu jina hilo uk...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Kofia ya kitamaduni alivyovikwa Winnie yaibua mjadala kuhusu urithi wa Raila

Kofia moja ya kitamaduni imezua swali kubwa katika familia ya Odinga: nani atavaa viatu vya kisiasa vya Raila Odinga—binti yake Winnie au mwanawe Raila Junior? Winnie alipovikwa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Kutawazwa kwa Kindiki kwagawanya wazee

KUTAWAZWA kwa Naibu Rais Kithure Kindiki kuwa msemaji wa Mlima Kenya kumeibua mgawanyiko katika Baraza la Wazee la Kiama Kia Ma, huku makundi mawili yakidai kuwa ndiyo yenye mamlak...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Aliyebuni Azimio La Umoja asikitika Raila anasahaulika haraka

MFANYABIASHARA Ronny Raburu, anayesema ndiye aliyependekeza jina Azimio la Umoja kwa aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga mwaka 2021, amesema amesikitishwa na uamuzi wa viongozi wa u...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Onyo kali la Uhuru kwa wakazi wa Mlima Kenya 2027

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amemshambulia mrithi wake Rais William Ruto, akimtaka aache kumlaumu na badala yake kushughulikia matatizo yanayowakabili Wakenya. Akizungumza Jumamosi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Dalili Kalonzo anarukwa na vinara wa upinzani kuhusu Ukombozi

Juhudi za Kalonzo Musyoka kubadilisha jina na muundo wa muungano wa Azimio la Umoja kuwa The Ukombozi Alliance (TUA) zinaweza kumweka katika nafasi nzuri ya kuwania urais kwa tiket...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mawimbi yakumba ukumbusho wa Raila

CHAMA cha ODM na familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, wako katika mzozo mkali kuhusu mipango ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake. Taifa litaadhimisha mwaka mmoja...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Migwena: Uwanja wa mapenzi na historia ya familia ya Odinga

MUDA mrefu kabla ya Migwena kuwa kitovu cha mikutano mikubwa ya kisiasa na kitamaduni nchini, uwanja huo uliokuwa ukitumiwa na vijana kutafuta wachumba na jamii jirani kusuluhisha...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Othman awasihi wazee kuache uchawa

Mwenyekiti huyo, amesisitiza kuwa ikiwa Wazee watakuwa chawa kwa kuwawalinda wanaofanya ufisadi, maendeleo hayawezi kupatikana na jambo hilo sio sahihi wala halistahiki kwao.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Kilicho ndani ya nyumba ya milele ya Raila

MAKAVAZI ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Kang’o ka Jaramogi, Bondo, yameundwa kuhifadhi historia yake ya kisiasa na mchango wake katika safari ya kidemokrasia Kenya. Muundo...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

Uhuru to Convene Jubilee Meeting as Ukombozi Alliance Takes Shape

Kenya’s main opposition coalition has officially entered a new era. On Monday, Wiper party leader Kalonzo Musyoka announced that the Azimio la Umoja One Kenya Coalition unanimously...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Uhuru ajiuzulu Azimio, Ukombozi Alliance yamrai Gachagua

RAIS mstaafu Uhuru Kenyatta amejiuzulu rasmi kama mwenyekiti wa Baraza la Muungano wa Azimio la Umoja, hatua inayofungua ukurasa mpya katika juhudi za kuunda upya muungano wa upinz...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Maadhimisho yaanika vita baridi kati ya ODM na familia ya Raila

MWAKA mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, tofauti za kimya kimya zimeanza kujitokeza kati ya familia yake na chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kuhu...

Read source
allafrica.com /1 month ago

Kenya: Odinga's Family Plans Activities for First Anniversary Commemorations

[Capital FM] Nairobi -- Professor Adams Oloo has been appointed to chair a committee coordinating activities to mark the first anniversary of the death of former Prime Minister Rai...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Taharuki Uhuru, Ruto kukutana kwa Raila

FAMILIA ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga inakabiliwa na mtanziko wa kiitifaki huku Rais William Ruto na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta wakitarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya mwak...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Hali si shwari ndani ya Linda Mwananchi

MIVUTANO kuhusu madaraka na azma zinazokinzana za kisiasa miongoni mwa viongozi wakuu wa Linda Mwananchi imejitokeza hadharani, huku makundi tofauti yakionekana kuvutana kuhusu mwe...

Read source
mwananchi.co.tz /6 days ago

KONA YA MSTAAFU: Benki ziache kupiga kelele wastaafu wataona wenyewe

Asili yetu sisi Waafrika ni kwa wajukuu kumtania babu au bibi yao wanavyotaka. Huwa mara chache sana kwa makonzi ya babu na bibi kuvihusu vichogo vya wajukuu, pale wanapozidisha ut...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ayacko: Hatutaki viongozi wa Linda Mwananchi Migori

GAVANA wa Migori Ochilo Ayacko amewaonya viongozi wa kundi la Linda Mwananchi dhidi ya kuzuru kaunti hiyo, akisema ziara yao iliyopangwa inaweza kuongeza joto la kisiasa na kusabab...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Baraza La Wazee Wa Luo

allafrica.com

Recent coverage from public sources
Public source

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source