Latest updates for Baraza La Wazee Wa Agikuyu

Fresh curated links around Baraza la Wazee wa Agikuyu are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Kutawazwa kwa Kindiki kwagawanya wazee
  • Adhabu ya pamba: NCIC yaamuru Ruku, Kaguchia kuomba msamaha
  • Mwanri aonya makundi K’njaro, asema muda wa hatua umefika

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Kutawazwa kwa Kindiki kwagawanya wazee

KUTAWAZWA kwa Naibu Rais Kithure Kindiki kuwa msemaji wa Mlima Kenya kumeibua mgawanyiko katika Baraza la Wazee la Kiama Kia Ma, huku makundi mawili yakidai kuwa ndiyo yenye mamlak...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Adhabu ya pamba: NCIC yaamuru Ruku, Kaguchia kuomba msamaha

TUME ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano (NCIC) imeamuru Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku na Mbunge wa Mukurweini John Kaguchia kuondoa matamshi yao yaliyodaiwa kuchochea mg...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Mwanri aonya makundi K’njaro, asema muda wa hatua umefika

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Agrey Mwanri, amewaagiza viongozi wa chama hicho mkoani Kilimanjaro kuhakikisha makundi yaliyoibuka baada ya Uchaguzi Mkuu wa m...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Viongozi wa DCP wawaka kuhusu kutawazwa kwa Kindiki Mlimani

VIONGOZI wa DCP wamepinga kutawazwa kwa Naibu Rais Prof Kithure Kindiki kuwa msemaji wa eneo la Mlima Kenya, wakisisitiza kuwa uongozi wa kisiasa huamuliwa na wananchi wala si waze...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Jubilee hakukaliki Kioni na Matiang’i waking’ang’ania kiti cha Kenyatta

Mabadiliko ya uongozi katika Chama cha Jubilee yamezua vita vipya vya kuwania usukani wa chama hicho, huku uteuzi wa Dkt Fred Matiang’i kushika hatamu ukishindwa kuzima mjadala kuh...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Kindiki asihi mlima kumwamini aupeleke ‘canaan’

NAIBU wa Rais Kithure Kindiki amewaomba wapiga kura wa Mlima Kenya wamwamini kuwaongoza katika mazungumzo ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Prof Kindiki alisema e...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kutawazwa kwa Kindiki kwazua mvutano Mlimani

Washirika wa Rais William Ruto wanaonekana kuwa na nafasi muhimu katika juhudi za kumuinua Naibu Rais Kithure Kindiki kuwa msemaji wa kisiasa wa eneo la Mlima Kenya. Hafla ya Ju...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mnafaa kuheshimu wazee walionitawaza, Kindiki aambia wakosoaji

NAIBU Rais Kithure Kindiki amewataka viongozi wa Mlima Kenya kuwaheshimu wazee na kusikiza wito wao wa umoja, akisema tofauti za kisiasa hazifai kuruhusiwa kuvunja jamii ambayo ime...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Uhuru aibuka mwiba kwa Gachagua Mlimani

VITA vya kisiasa vya kudhibiti Mlima Kenya vinaingia awamu mpya huku aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua akijaribu kuimarisha ushawishi wake katika eneo hilo kuelekea uchaguzi wa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Uhuru ajiuzulu Azimio, Ukombozi Alliance yamrai Gachagua

RAIS mstaafu Uhuru Kenyatta amejiuzulu rasmi kama mwenyekiti wa Baraza la Muungano wa Azimio la Umoja, hatua inayofungua ukurasa mpya katika juhudi za kuunda upya muungano wa upinz...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Korti yampiga marufuku Uhuru kuendelea kushikilia uongozi wa Jubilee na Azimio

MAHAKAMA Kuu imesisitiza kuwa sheria inayomzuia Rais mstaafu kushikilia wadhifa wa uongozi katika chama cha kisiasa kwa zaidi ya miezi sita baada ya kuondoka mamlakani ipo na uteke...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Gachagua sasa ‘ammaliza’ Uhuru Mlimani na Nairobi

CHAMA cha DCP kinachoongozwa na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kinazidi kujitokeza kama tishio kubwa kwa Jubilee, chama cha aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta, huku kikivamia ngo...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

Uhuru to Convene Jubilee Meeting as Ukombozi Alliance Takes Shape

Kenya’s main opposition coalition has officially entered a new era. On Monday, Wiper party leader Kalonzo Musyoka announced that the Azimio la Umoja One Kenya Coalition unanimously...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kujiondoa kwa Uhuru kwafungua vita vya ubabe Jubilee kati ya Matiang’i na Kioni

CHAMA cha Jubilee kimetumbukia katika vita vipya vya uongozi huku aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta akijiandaa kuacha rasmi uongozi wa chama hicho baada ya Mahakama Kuu kuamua kuwa mar...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Baraza la Waluo lapoteza ushawishi wazee wakizozania uongozi

JAMII ya Waluo inakabiliwa na mgawanyiko mkubwa wa uongozi, wazee wakigawanyika katika makundi mawili yanayodai kumtambua kiongozi halali wa Baraza la Wazee wa Waluo. Upande mmoja...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Viongozi wa Kenya Kwanza wazidi kuunga mkono Mung’aro achaguliwe tutam

GAVANA wa Kilifi, Bw Gideon Mung’aro, amezidi kuungwa mkono na viongozi wa Kenya Kwanza kutetea kiti hicho katika Uchaguzi wa 2027. Spika wa Seneti, Bw Amason Kingi, alisema wan...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Onyo kali la Uhuru kwa wakazi wa Mlima Kenya 2027

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amemshambulia mrithi wake Rais William Ruto, akimtaka aache kumlaumu na badala yake kushughulikia matatizo yanayowakabili Wakenya. Akizungumza Jumamosi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Kindiki sasa aelekea Mlima Kenya Magharibi

NAIBU wa Rais Prof Kithure Kindiki anatumia baraka za wazee waliomteua kuwa msemaji wa eneo la Mlima Kenya kupanua ushawishi wake katika Mlima Kenya Magharibi, ambako utawala wa Ra...

Read source
allafrica.com /3 weeks ago

Kenya: Gachagua Condemns Samburu Livestock Killings, Vows to Meet Maa Elders

[Capital FM] Nairobi -- DCP leader Rigathi Gachagua has condemned the reported killing of hundreds of livestock during a security operation in Samburu, promising to meet Maa commun...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

Gachagua Warns of New Plan to Divide Mt Kenya After CS Ruku’s Axe Ceremony

Democracy for the Citizens Party (DCP) Leader Rigathi Gachagua claimed Deputy President Kithure Kindiki and Public Service Cabinet Secretary Geoffrey Ruku were abandoning an allege...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Hesabu za Gachagua zinavyozidi kuwa ngumu mlimani

Hesabu za kisiasa za aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 zinazidi kuwa ngumu kutokana na swali moja muhimu - iwapo ataruhusiwa kugombea au atalazim...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Othman awasihi wazee kuache uchawa

Mwenyekiti huyo, amesisitiza kuwa ikiwa Wazee watakuwa chawa kwa kuwawalinda wanaofanya ufisadi, maendeleo hayawezi kupatikana na jambo hilo sio sahihi wala halistahiki kwao.

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Baraza La Wazee Wa Agikuyu

allafrica.com

Recent coverage from public sources
Public source

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source