Ruto atua ngome yake kuwarai wampe Tutam 2027
RAIS William Ruto ameanzisha kampeni za kuimarisha uungwaji mkono wake katika Bonde la Ufa, akilenga kuongeza idadi ya wapiga kura kutoka 5.4 milioni waliojisajili mwaka 2022 hadi...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Atwoli Afanyia Ruto Kampeni Za Tutam.
Fresh curated links around Atwoli afanyia Ruto kampeni za Tutam are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
RAIS William Ruto ameanzisha kampeni za kuimarisha uungwaji mkono wake katika Bonde la Ufa, akilenga kuongeza idadi ya wapiga kura kutoka 5.4 milioni waliojisajili mwaka 2022 hadi...
WIMBI la kisiasa la Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kupitia vuguvugu la Linda Mwananchi limewafanya baadhi ya viongozi wakuu wa serikali kutoka eneo la Magharibi kuanza kampeni kali...
KATIBU Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi (COTU), Francis Atwoli, sasa anadai ilikuwa vigumu kumfikia Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, akidai kwamba mara nyingi alisita kushirik...
Rais wa Kenya, William Ruto amewaonya wapinzani wake akisema watajikuta wakikabiliwa na ushindani mkali wa kisiasa, huku akiwatuhumu baadhi yao kupinga mipango ya serikali kwa kuha...
WABUNGE kutoka eneo la Magharibi wamempa Rais William Ruto orodha ya matakwa wanayotaka yashughulikiwe kabla ya eneo hilo kumuunga mkono katika uchaguzi wa 2027. Miongoni mwa mata...
RAIS William Ruto amegeuza ziara yake ya siku 10 katika eneo la North Rift kuwa jukwaa la kushambulia wapinzani wake kisiasa huku akiwataka kueleza mipango yao ya maendeleo kabla y...
RAIS William Ruto amewajibu viongozi wa upinzani wanaokosoa rekodi yake ya maendeleo akisema kwa kufanya hivyo wanasaidia kuitangaza miradi yake kwa wananchi bila malipo. Akizungum...
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amemshambulia mrithi wake Rais William Ruto, akimtaka aache kumlaumu na badala yake kushughulikia matatizo yanayowakabili Wakenya. Akizungumza Jumamosi...
RAIS William Ruto anazidi kugeuza maeneo ya ujenzi kuwa majukwaa ya kisiasa, akizunguka nchini kuzindua, kukagua na kukamilisha miradi ambayo imekuwa msingi wa ajenda yake ya maend...
RAIS William Ruto amemshambulia tena mtangulizi wake, Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, akimlaumu kwa kusaliti makubaliano ya kisiasa waliyofikia walipokuwa washirika na sasa kufadhili...
RAIS William Ruto amemshambulia vikali mwekezaji wa kimataifa, Tata Chemicals, eneo la Magadi, Kajiado, akisema kampuni hiyo imeshindwa kuwanufaisha Wakenya licha ya kufanya biasha...
KATIKA siku yake ya tatu ya ziara ya Nyanza, Rais William Ruto alipeleka mapambano yake ya kisiasa dhidi ya vuguvugu la Linda Mwananchi hadi Siaya, ngome ya Gavana James Orengo, ak...
RAIS William Ruto jana alimrejelea Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kama kiongozi msaliti ambaye alimgeuka na kupuuza maelewano ya kila mmoja wao kuongoza kwa mihula miwili baada ya kuc...
RAIS William Ruto sasa anawategemea makatibu wa Baraza la Mawaziri na maafisa wengine wa serikali kupeleka ujumbe wa serikali mashinani katika juhudi za kurejesha uungwaji mkono wa...
RAIS William Ruto jana alionekana kupunguza mvutano wa kisiasa kati ya ODM na UDA, akisema vyama hivyo ni washirika katika Serikali Jumuishi akiahidi kulinda urithi wa kisiasa wa m...
RAIS William Ruto amewatahadharisha viongozi wa upinzani dhidi ya kutumiwa na watu aliowataja kuwa “wadhamini wa kisiasa”, akisema serikali jumuishi itashinda uchaguzi wa 2027 kwa...
UCHAGUZI mdogo wa wadi ya Migwani, Kaunti ya Kitui, umegeuka kuwa uwanja mpya wa mapambano ya kisiasa kati ya kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka na washirika wa Rais William Ruto ku...
RAIS William Ruto aliondoka Nairobi kuelekea New York, Amerika, Jumamosi usiku ambako anatarajiwa kutumia Mkutano Mkuu wa 81 wa Umoja wa Mataifa (UNGA) kutangaza Kenya kama kitovu...
VITA vya kisiasa vya kusaka kura za jamii ya Maa vinazidi kupamba moto kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, huku Rais William Ruto na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua wakiongeza ju...
Former United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD) Secretary-General Mukhisa Kituyi has alleged that President William Ruto is blackmailing Tata Chemicals in a supp...
MVUTANO wa kisiasa kati ya Rais William Ruto na Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya umechacha huku washirika wao wakipigana vikali kuhusu miradi ya maendeleo na uchaguzi wa 2027...
RAIS William Ruto alitumia hotuba yake ya Mashujaa Dei kuorodhesha ufanisi wa serikali yake kiuchumi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027, akiahidi kupunguza ushuru, kubuni nafasi zaidi...
RAIS William Ruto amekuwa akitoa matamshi ambayo yanaonekana kuridhisha umma kwenye mikutano kisha kauli hizo zinabadilishwa kutokana na sera kuzimwa na sera ya serikali kukinzana...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.