Utata wa umiliki eneo inapojengwa stendi Mbagala
Soma zaidi hapa...
Search fresh public links, source activity, and post angles for Ardhi Nambari Lr 5974/1.
Fresh curated links around Ardhi nambari LR 5974/1 are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Soma zaidi hapa...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetaja vipaumbele vinane katika utekelezaji wa bajeti ya Sh210.3 bilioni huku utatuzi wa migogoro ukitajwa kila eneo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Leonard Akwilapo, amesema tayari wizara hiyo kwa kushirikiana na mamlaka nyingine za Serikali wameshaanza vikao vya kutafuta dawa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Evance Bisesagu (47), mfanyabiashara na mkazi wa Bupumula, Kata ya Nyamhongolo, Wilaya ya Ilemela kwa tuhuma za kuchimba mahandaki sita...
Wanawake 150 kutoka jamii za wafugaji wilayani Simanjiro na Kiteto mkoani Manyara wamekabidhiwa hati za kimila za umiliki wa ardhi, hatua inayolenga kuwawezesha kiuchumi na kupungu...
Zaidi ya viwanja 300 vilivyotolewa na Serikali kwa wananchi wa Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja, vinatarajiwa kurejeshwa serikalini ili kutafutiwa matumizi mengine baada ya...
Katika kuhakikisha migogoro ardhi inafikia kikomo, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imeelekezwa kupima utendaji kazi wa watumishi wake kwa idadi ya changamoto za mig...
Soma hapa...
Wachimbaji wadogo zaidi ya 100 wa dhahabu katika Kijiji cha Patamela, Kata ya Saza, Wilaya ya Songwe, wameandamana hadi Ofisi ya Mkuu wa Wilaya wakiiomba Serikali iingilie kati mgo...
Ni hali ya taharuki, simanzi na sintofahamu kwa wakazi wa Lupaso, Kata ya Vikawe, wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani baada ya kuibuka mapigano kati ya wakazi na watu waliotajwa kuwa mab...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia wanawake wanne kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa kilo 129.
Tanzania inatarajia kukuza zaidi uchumi wake baada ya kugundulika kwa utajiri wa madini maarufu kama Rare Earth Elements (REEs) katika kijiji cha Mkiu, Wilaya ya Ludewa mkoani Njom...
Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura) umedai kuwa, Sh227 milioni za fidia katika Msikiti wa Rahman uliopo Mtaa wa Jangwani jijini Dar es Salaam zililipwa kwa watu wasio sah...
Soma hapa....
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametoa maelekezo kwa viongozi ngazi ya wilaya na mkoa wakiwemo maofisa sekta ya ardhi kushughulikia migogoro ya ardhi iliyoibuliwa wakati wa mkutano...
Mpaka sasa, kaya 10 zimeyakimbia makazi yake katika kijiji hicho huku moja ya nyumba za ibada ikishindwa kutumika, baada ya kutengeneza nyufa zilizosababishwa na hali hiyo.
Soma zaidi hapa...
Wananchi wa Kata ya Kibirizi, eneo ambalo mradi huo unatekelezwa, wanasema licha ya kuhamishwa tangu mwaka 2015 kupisha ujenzi huo, hakuna maendeleo ya kuridhisha yaliyofanyika had...
ZAIDI ya wakazi 440 wa Kachero, Kaunti ya Taita Taveta, wamepata afueni baada ya Mahakama ya Mazingira na Ardhi kuruhusu kesi yao kusikilizwa kikamilifu. Wakazi hao wanataka kupew...
Soma hapa...
KILA siku katika eneo la Mavoko, Kaunti ya Machakos, kuna mtu anayekumbwa na hatari ya kupoteza ardhi yake; si kwa nguvu za silaha bali kwa karatasi na hila ofisini. Kughushi sai...
[Daily News] Mkuu -- PRIME Minister Mwigulu Nchemba has successfully resolved a 51-year land dispute between Mtimhoo Parish of the Roman Catholic Church in the Diocese of Moshi and...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.