Latest updates for Anthony Kibagendi (Kitutu Chache Kusini)

Fresh curated links around Anthony Kibagendi (Kitutu Chache Kusini) are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Kindiki sasa aelekea Mlima Kenya Magharibi
  • Kindiki asihi mlima kumwamini aupeleke ‘canaan’
  • Kutawazwa kwa Kindiki kwazua mvutano Mlimani

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Kindiki sasa aelekea Mlima Kenya Magharibi

NAIBU wa Rais Prof Kithure Kindiki anatumia baraka za wazee waliomteua kuwa msemaji wa eneo la Mlima Kenya kupanua ushawishi wake katika Mlima Kenya Magharibi, ambako utawala wa Ra...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Kindiki asihi mlima kumwamini aupeleke ‘canaan’

NAIBU wa Rais Kithure Kindiki amewaomba wapiga kura wa Mlima Kenya wamwamini kuwaongoza katika mazungumzo ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Prof Kindiki alisema e...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kutawazwa kwa Kindiki kwazua mvutano Mlimani

Washirika wa Rais William Ruto wanaonekana kuwa na nafasi muhimu katika juhudi za kumuinua Naibu Rais Kithure Kindiki kuwa msemaji wa kisiasa wa eneo la Mlima Kenya. Hafla ya Ju...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

Kioni Warns Gachagua: Stop ‘Ruining’ the United Opposition

Jubilee Party Deputy Leader Jeremiah Kioni has criticized Democracy for the Citizens Party (DCP) leader Rigathi Gachagua, accusing him of micromanaging opposition affairs and disre...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

MAONI: Caroli Omondi ni mwanamikakati stadi ambaye hucheza chini ya maji

MMOJA wa wanasiasa ambaye anategemewa kwa mustakabali wa umoja wa upinzani ni Mbunge wa Suba Kusini Caroli Omondi. Zipo sababu kadhaa zinazomkweza Caroli katika siasa Kenya inapoj...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Kindiki afanya zaidi ya ziara 30 Mlimani kusaka ushawishi

KWA miezi 10 iliyopita, Naibu Rais Kithure Kindiki amefanya zaidi ya ziara 30 katika eneo lake la nyumbani Mlima Kenya, kukagua miradi ya maendeleo au kufuta ushawishi wa wapinzani...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Diwani asema Sakaja hafai kupewa ‘tutam’ sababu ameshindwa kuwahudumia wakazi ipasavyo

DIWANI wa Wadi ya Nairobi South, Waithera Chege, amesema rekodi ya maendeleo ya Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja haimruhusu kuwania muhula wa pili 2027. Akizungumza katika mkuta...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Amisi ampigia debe Matiang’i, asema kiti cha chini anachoweza kupata ni unaibu wa rais

MBUNGE wa Saboti, Caleb Amisi, amesema kiti cha chini kabisa ambacho kiongozi wa Jubilee, Dkt Fred Matiang'i, anaweza kukubali katika muungano wa upinzani kuelekea uchaguzi mkuu wa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wabunge wa ‘Broabased’ wakosolewa kwa uzembe kamatini

WABUNGE wanaounga mkono serikali ambao wanaongoza kamati muhimu za Bunge wamekosolewa kwa kushindwa kuwawajibisha mawaziri kuhusu masuala yanayowahusu wananchi. Ripoti iliyowasi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Jubilee hakukaliki Kioni na Matiang’i waking’ang’ania kiti cha Kenyatta

Mabadiliko ya uongozi katika Chama cha Jubilee yamezua vita vipya vya kuwania usukani wa chama hicho, huku uteuzi wa Dkt Fred Matiang’i kushika hatamu ukishindwa kuzima mjadala kuh...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Hesabu za Gachagua zinavyozidi kuwa ngumu mlimani

Hesabu za kisiasa za aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 zinazidi kuwa ngumu kutokana na swali moja muhimu - iwapo ataruhusiwa kugombea au atalazim...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kambi afichua atazindua chama cha Pwani kujipa ushawishi kama DCP ya Gachagua Mlimani

UFICHUZI wa aliyekuwa Waziri wa Leba, Bw Kazungu Kambi, kwamba anapanga kuzindua chama kipya cha kisiasa, umeibua mwelekeo mpya wa kisiasa katika eneo la Pwani kuelekea kwa Uchaguz...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Mishale ya Serikali kwa Sifuna yaongezeka

SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna amekuwa mlengwa wa matamshi makali kutoka kwa viongozi wa serikali ya Kenya Kwanza, huku akizidisha juhudi za kujijenga kisiasa kuelekea kwenye ucha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Anajuana na kina Sifuna? Kivutha abadili jina la chama, sasa kuwa ‘The Mwananchi Party’

ALIYEKUWA Gavana wa Makueni Kivutha Kibwana anataka kubadili jina la chama chake cha Muungano Party (MP) kuwa The Mwananchi Party (TMP), hatua ambayo imeibua maswali kuhusu uhusian...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kiti kinachojaa mikosi Afrika Mashariki

Kujiuzulu kwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Emmanuel Nchimbi na hatimaye kufukuzwa katika chama tawala cha CCM kumefufua mjadala mkubwa kuhusu kiti cha wagombea wenza na wasaidiz...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

Moses Kuria Says Kindiki Has Failed Mt Kenya Where Gachagua Took Action

Former Trade and Industry Cabinet Secretary Moses Kuria launched a stinging critique against Deputy President Kithure Kindiki on Sunday, September 20, accusing him of failing to de...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mwanamume amshtaki Sifuna akitaka kujua alivyotumia Sh55 alizomchangia

MWANAMUME anayedai alichangia Sh55 kwa kampeni ya Linda Mwananchi, amewasilisha kesi katika Mahakama Kuu akiomba itoe amri kumlazimisha Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, na vuguvugu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Ruto, Kalonzo kumenyana uchaguzi mdogo ukinukia Ukambani

UCHAGUZI mdogo wa wadi ya Migwani, Kaunti ya Kitui, umegeuka kuwa uwanja mpya wa mapambano ya kisiasa kati ya kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka na washirika wa Rais William Ruto ku...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kenya Kwanza yazidisha presha kwa Natembeya

MUUNGANO wa Kenya Kwanza unaoongozwa na Rais William Ruto, umeanzisha kampeni kali ya kisiasa ya kuteka Kaunti ya Trans Nzoia kutoka kwa upinzani, hatua inayoongeza presha kwa Gava...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Dai huenda Ruto akamtema Kindiki kabla ya 2027

NAIBU Rais Profesa Kithure Kindiki huenda asiwe mgombea mwenza wa Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa 2027, Mbunge wa Ndia George Kariuki amedai. Bw Kariuki, ambaye ni msh...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

Mukhisa Kituyi’s Linda Mwananchi Move Gives Sifuna a Boost

Former Trade Minister and United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD) Secretary-General Mukhisa Kituyi has officially joined the Edwin Sifuna-led Linda Mwananchi po...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Vita vya ubabe kati ya vijana na wazee vyatikisa upinzani

MBIO za kumtafuta mgombeaji atakayepeperusha bendera ya upinzani dhidi ya Rais William Ruto katika uchaguzi wa 2027 zinageuka vita vya kizazi, huku vijana wakitaka kuchukua nafasi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Gachagua arejea kimyakimya, apika nini na Sifuna?

KIONGOZI wa DCP, Rigathi Gachagua, jana alirejea nchini kimya kimya baada ya ziara ya miezi miwili Amerika. Katika mkutano wake wa kwanza wa hadhi ya juu baada ya kurejea, Bw Ga...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Vita vyazidi mrengo wa upinzani vinara waking’ang’ania vyama

UCHAGUZI Mkuu wa mwaka 2027 unapokaribia, ushindani wa kumng’oa Rais William Ruto unaonekana kugeuka kuwa vita vya ndani ya upinzani huku vinara wakuu wakisaka vyama vya kisiasa na...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Anthony Kibagendi (Kitutu Chache Kusini)

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source