Wabunge waendea Murkomen aeleze walipo vijana watatu waliotekwa nyara Kiamaiko
WABUNGE wanataka Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen kueleza walipo watu watatu wakazi wa eneobunge la Mathare waliopotea katika mazingira ya kutatanisha ndani ya kipindi...