Latest updates for Alitaka Upinzani Umakinikie Kumshinda Rais William Ruto Mnamo 2027

Fresh curated links around Alitaka upinzani umakinikie kumshinda Rais William Ruto mnamo 2027 are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Ruto: Kushinda ni lazima, hatuna hiari; nikifikiria jinsi nchi itakuwa mikononi mwao nashtuka
  • Upinzani unahitaji umoja thabiti kabla ya 2027 au ikulu isalie ndoto ya mchana
  • Vita mgombea mwenza wa Ruto kuelekea uchaguzi mkuu 2027

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Ruto: Kushinda ni lazima, hatuna hiari; nikifikiria jinsi nchi itakuwa mikononi mwao nashtuka

RAIS William Ruto na Kinara wa ODM Dkt Oburu Oginga jana walibuni kamati ya watu watano kutoka kila upande ili kuibuka na rasmi na manifesto ambayo watatumia kujivumisha kuelekea u...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Upinzani unahitaji umoja thabiti kabla ya 2027 au ikulu isalie ndoto ya mchana

VIONGOZI wa upinzani wanapaswa kusuluhisha mizozo yao na kuendesha mijadala kwa faragha, ili kusitiri mapungufu yanayoweza kudhoofisha taswira yao mbele ya umma. Kwa sasa, misima...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Vita mgombea mwenza wa Ruto kuelekea uchaguzi mkuu 2027

Wakati Kenya ikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, mjadala kuhusu nani atakuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto umeanza kuibua mvutano ndani ya vyama vya United Democratic...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Yabainika ni moto nyuma ya pazia kila mmoja akijiamini anaweza ‘kupambana na Ruto’

HUKU viongozi wa upinzani wakiharakisha juhudi za kuunda muungano kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027, changamoto kubwa si tena iwapo wataungana kumpinga Rais William Ruto, b...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wandani wa Ruto waanza kusuka mikakati ya 2032

VIONGOZI wanaounga mkono serikali jumuishi Ijumaa walifanya mkutano mkubwa wa kisiasa mjini Eldoret kumpigia debe Rais William Ruto 2027 huku wakianza pia kuweka msingi wa siasa za...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Jinamizi la kuamua mgombea mwenza wa Ruto 2027

KINYANG'ANYIRO cha urais wa 2027 kimeanza kushika kasi, lakini nyuma ya pazia kuna pambano jingine lenye uzito mkubwa kumchagua mgombea mwenza. Muungano wa Kenya Kwanza unaoong...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

2027: Rais Ruto asema ODM haifai kumpa Kindiki presha

RAIS William Ruto Jumapili alipuuzilia mbali wasiwasi unaozidi kushuhudiwa ndani ya muungano wake wa kisiasa, akisisitiza kuwa ushirikiano kati ya UDA na ODM uko imara na utaendele...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

TIFA: Sifuna sasa kifua mbele kupambana na Ruto 2027

TAKRIBAN thuluthi mbili ya wafuasi wa kiongozi wa Democracy for the Citizens (DCP) Rigathi Gachagua wanaompinga Rais William Ruto wanaamini hafai kuwania urais mwaka ujao, bali amu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Wantam! Uhuru aanza kupanga majenerali kukabili Ruto 2027

RAIS mstaafu Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuongoza mkutano muhimu wa Baraza la Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Jumatatu, hatua inayotafsiriwa kama kurejea kwake katika siasa za...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Uhuru: Ruto au kiongozi yeyote hafai kujilazimisha kwa Wakenya

RAIS Mstaafu Uhuru Kenyatta na Rais William Ruto wameendeleza mvutano wao wa kisiasa huku wakitofautiana kuhusu uchaguzi wa 2027, nafasi ya upinzani na maendeleo ya serikali....

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Ruto atua ngome ya Kalonzo na minofu uchaguzi ukikaribia

RAIS William Ruto amewataka viongozi wa upinzani kutafuta hoja bora za kupinga ajenda yake ya maendeleo badala ya kuwagawanya Wakenya kwa misingi ya ukabila. Rais alisema ha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

BITUGI MATUNDURA: ‘Mdomo tamu tamu’ uliomjenga Ruto kisiasa 2022 utamfaa 2027?

KAMPENI za kinyang’anyiro cha urais 2022 zilipokuwa kileleni, aliyekuwa rais, Bw Uhuru Kenyatta aliwatahadharisha Wakenya mara kadhaa wajiepushe kuwachagua viongozi wenye “mdomo ta...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto apanua kikosi chake Ukambani kukabili Kalonzo

MAPAMBANO ya kisiasa ya kuwania takriban kura milioni mbili za Ukambani yamepamba moto baada ya Rais William Ruto kupanua orodha ya washirika wake katika eneo hilo kuelekea uchaguz...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Gachagua apinga madai kuwa anampigia debe Kalonzo kupambana na Ruto 2027

KIONGOZI wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, amesema muungano wa upinzani hautamtangaza atakayepeperusha bendera ya urais 2027 mapema kwa hofu kwamba atalengwa na serikali na kutes...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Ruto halali akitupangia lakini hatupati ng’o, wasema viongozi wa Upinzani

VIONGOZI wa upinzani wameanza mikakati ya kuunda muungano mkubwa wa kisiasa unaofanana na ule wa National Rainbow Coalition (NARC) uliomwingiza madarakani Rais mstaafu Mwai Kibaki...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

ODM sasa yamkalia Ruto ngumu kuhusu 2027, yataja matakwa 8

CHAMA cha ODM kimeweka matakwa manane mbele ya Rais William Ruto kabla ya uchaguzi wa 2027, huku viongozi wa chama hicho wakitarajiwa kuyajadili katika mkutano wa siku tatu wa seri...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Jiandae kwa mwaka mgumu, Kalonzo amuonya Ruto

KIONGOZI wa Wiper Patriotic Party, Kalonzo Musyoka, amemuonya Rais William Ruto kwamba mwaka wake wa mwisho mamlakani utakuwa mgumu, huku upinzani ukiahidi kuongeza ukosoaji wa ser...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

2027: Mudavadi kimya watu wakijipanga

KIMYA na kukosekana kwa Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavad katika mjadala wa nani atakuwa mgombeaji mwenza wa Rais William Ruto mnamo 2027 kumeibua maswali kuhusu mikakati yake ya...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Tutam! Vuguvugu la kumvumisha Ruto 2027 labuniwa

BAADHI ya maafisa wa ngazi ya juu serikalini wameunda vuguvugu la kuvumisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto tena katika uchaguzi mkuu wa 2027. Kundi hilo linafahamika kama Jam...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

2027: Siasa za ubabe zatikisa mrengo wa Linda Mwananchi na ule wa upinzani

HUKU upinzani ukiendelea kuonyesha wana umoja hadharani, mvutano mkali unaendelea kushuhudiwa kati ya mrengo wa Linda Mwananchi na Umoja wa Upinzani, kila upande ukipambana kudhibi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Wantam: Upinzani wakosoa ndoto mpya ya Ruto ya ustawi

VIONGOZI wakuu wa upinzani wamekosoa vikali pendekezo la Rais William Ruto la kuanzisha mwongozo mpya wa maendeleo ya taifa utakaofuata Ruwaza ya 2030, wakisema serikali inajaribu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Kindiki: Kalonzo hana ajenda, na hawezi kumshinda Ruto 2027

NAIBU Rais Profesa Kithure Kindiki wikendi alimshambulia vikali Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka, akisema hana ajenda mpya ya kuwaongoza Wakenya baada ya kuhudumu serikalini kwa zai...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Sura mbili mbio za uchaguzi Kenya, Ruto akimrushia kijembe Kenyatta

Malumbano ya kisiasa nchini Kenya yameendelea kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, baada ya Rais William Ruto kuwatuhumu baadhi ya wapinzani wake kuwa wanatumwa na “sponsor...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Moto bondeni, Murkomen, Cheruiyot waking’ang’ania ubabe 2032

MVUTANO wa kisiasa, tamaa ya uongozi na mapambano ya kumrithi Rais William Ruto 2032 yanaanza kutishia kampeni yake ya kutafuta muhula wa pili 2027 katika Bonde la Ufa, eneo ambalo...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Alitaka Upinzani Umakinikie Kumshinda Rais William Ruto Mnamo 2027

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source