AI yatarajiwa kubadili kilimo COMESA ikihamasisha huduma za nyanjani za kidijitali kwa wakulima
AKILI Mnemba (AI) inazidi kujitokeza kama teknolojia itakayobadilisha sekta ya kilimo barani Afrika huku Soko la Pamoja la Eneo la Mashariki na Kusini mwa Afrika (COMESA) likiendes...