Ruto avutia Mlima kwa ahadi ya ‘yangu 10, na ya Kindiki 10’ uchaguzi wa 2032
RAIS William Ruto sasa amekumbatia mbinu mpya ya kusaka uungwaji mkono katika eneo la Mlima Kenya akisema kuwa ‘atarudisha mkono’ mwaka wa 2032 kwa kuunga naibu wake Prof Kithure K...