Museveni: Sikujua Jirongo aliaga dunia, tutamkosa, na apumzike kwa amani
RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amesema aligundua tu hivi majuzi kwamba aliyekuwa Mbunge wa Lugari, Cyrus Jirongo, alifariki katika ajali ya barabarani Disemba 13, 2025. Museveni...