Latest updates for Ahadi Za Serikali Ya Ruto

Fresh curated links around Ahadi za serikali ya Ruto are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Ruto awapasha wapinzani, atetea miradi ya serikali yake
  • Ruto: Serikali lazima ipewe nafasi kutekeleza ahadi zake
  • Ruto sasa atumia maafisa wa umma ‘kubembeleza’ Mlima

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Ruto awapasha wapinzani, atetea miradi ya serikali yake

Rais wa Kenya, William Ruto amewaonya wapinzani wake akisema watajikuta wakikabiliwa na ushindani mkali wa kisiasa, huku akiwatuhumu baadhi yao kupinga mipango ya serikali kwa kuha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Ruto: Serikali lazima ipewe nafasi kutekeleza ahadi zake

RAIS William Ruto ameibua mjadala kuhusu nafasi ya Serikali iliyochaguliwa kutekeleza manifesto yake bila kuingiliwa na mahakama. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya 16 ya Katiba...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 days ago

Ruto sasa atumia maafisa wa umma ‘kubembeleza’ Mlima

RAIS William Ruto sasa anawategemea makatibu wa Baraza la Mawaziri na maafisa wengine wa serikali kupeleka ujumbe wa serikali mashinani katika juhudi za kurejesha uungwaji mkono wa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Nimepunguza kasi ya madeni, asema Ruto

RAIS William Ruto ametetea vikali rekodi ya serikali yake kuhusu deni la taifa, akisema Kenya imefanikiwa kupunguza kasi ya kukopa ikilinganishwa na tawala mbili zilizotangulia. K...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto arejea nyumbani kujitetea, anuia kurejesha ufuasi unaodaiwa kudidimia

RAIS William Ruto anatarajiwa kuzuru eneo la Kusini mwa Bonde la Ufa wiki ijayo huku kukiwa na malalamishi yanayoongezeka kutoka kwa wakazi wanaodai serikali yake imepuuza eneo hil...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto aendeleza juhudi za kuvutia vijana akitafuta Tutam

RAIS William Ruto ameongeza juhudi za kuwavutia vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 baada ya kuzindua mpango wa Sh2 bilioni wa kuwawezesha kupata ajira kupitia mafunzo kazini, na...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wantam: Upinzani wakosoa ndoto mpya ya Ruto ya ustawi

VIONGOZI wakuu wa upinzani wamekosoa vikali pendekezo la Rais William Ruto la kuanzisha mwongozo mpya wa maendeleo ya taifa utakaofuata Ruwaza ya 2030, wakisema serikali inajaribu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 days ago

Rais Ruto asisitiza Kenya haitauza madini ghafi nje ya nchi

RAIS William Ruto amesema Serikali yake inaandaa sera itakayokomesha usafirishaji wa malighafi kutoka Kenya kwenda nje, huku kampuni zikihitajika kuwekeza nchini, kuongeza thamani...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Ruto: Kushinda ni lazima, hatuna hiari; nikifikiria jinsi nchi itakuwa mikononi mwao nashtuka

RAIS William Ruto na Kinara wa ODM Dkt Oburu Oginga jana walibuni kamati ya watu watano kutoka kila upande ili kuibuka na rasmi na manifesto ambayo watatumia kujivumisha kuelekea u...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /5 days ago

Rais kukita kambi Kajiado siku 3 kukagua miradi na kupigia debe ‘rekodi yake ya maendeleo’

RAIS William Ruto ameanza ziara ya siku tatu katika Kaunti ya Kajiado, hatua inayotafsiriwa na wachambuzi kama juhudi za kuimarisha maendeleo na wakati huo huo kujiweka katika nafa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto apanua kikosi chake Ukambani kukabili Kalonzo

MAPAMBANO ya kisiasa ya kuwania takriban kura milioni mbili za Ukambani yamepamba moto baada ya Rais William Ruto kupanua orodha ya washirika wake katika eneo hilo kuelekea uchaguz...

Read source
nairobiwire.com /4 weeks ago

Ruto Tells Naivasha Retreat His Government Has “Done Exceptionally Well” for Kenyans

President William Ruto gave the Kenya Kwanza administration a glowing self-assessment on Monday, August 10, 2026, telling lawmakers at a broad-based parliamentary group meeting in...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto amwaga miradi ya mamilioni Magharibi, Oparanya akipigiwa debe 2027

RAIS William Ruto jana alisema serikali yake itaendelea kutekeleza miradi ya mabilioni ya pesa Magharibi mwa nchi huku wabunge wanaounga serikali yake wakiahidi kuwa eneo hilo lita...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 days ago

Ruto aagiza maafisa wa polisi kuheshimu haki za binadamu

RAIS William Ruto amewataka maafisa wa usalama nchini kuzingatia haki za binadamu, uwajibikaji na utaalamu wanapotekeleza majukumu yao, huku serikali ikiendeleza mageuzi makubwa ya...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Maafisa waagizwa kupigia debe mafanikio ya serikali kuelekea 2027

SERIKALI ya Rais William Ruto imeanza kuimarisha kampeni ya mawasiliano kwa umma kuhusu sera, miradi na mafanikio yake huku uchaguzi mkuu wa 2027 ukikaribia. Hatua hiyo inafuatia...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Uhuru: Ruto au kiongozi yeyote hafai kujilazimisha kwa Wakenya

RAIS Mstaafu Uhuru Kenyatta na Rais William Ruto wameendeleza mvutano wao wa kisiasa huku wakitofautiana kuhusu uchaguzi wa 2027, nafasi ya upinzani na maendeleo ya serikali....

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Vigogo wa ‘Broadbased’ waahidi Ruto kura milioni 7 Nyanza, Magharibi uchaguzi mkuu

WANASIASA wanaounga mkono serikali kutoka Nyanza na Magharibi wametangaza mipango ya kuendesha kampeni za pamoja kwa lengo la kumwezesha Rais William Ruto kupata kura milioni 7 mae...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Ruto kuzindua rasmi safari ya Kenya kuwa kama Singapore: Gumzo la ‘Vision 2060’ ni leo

RAIS William Ruto leo, Jumatano Agosti 12, 2026, anaanzisha mchakato wa mazungumzo ya kitaifa kuhusu mustakabali wa Kenya, huku akiwahusisha wataalamu na wananchi katika kuandaa mp...

Read source
mwananchi.co.tz /2 days ago

Vita vya ndani vyatikisa kambi ya Ruto

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mawaziri wa Ruto wazozana Wahome akimponda Duale, Kindiki naye akimkemea Ruku

UHASAMA mkali unaendelea kulikumba Baraza la Mawaziri la Rais William Ruto huku mawaziri wake wakijibizana hadharani na kuibua maswali kuhusu uwezekano wa kutekeleza mabadiliko kue...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto ataka walinzi wa kibinafsi na polisi kushirikiana katika ujasusi

RAIS William Ruto ametangaza kuwa serikali itaanza kutumia taarifa za kijasusi zinazokusanywa na walinzi wa kampuni za kibinafsi ili kuimarisha vita dhidi ya uhalifu na kuimarisha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

2027: Rais Ruto asema ODM haifai kumpa Kindiki presha

RAIS William Ruto Jumapili alipuuzilia mbali wasiwasi unaozidi kushuhudiwa ndani ya muungano wake wa kisiasa, akisisitiza kuwa ushirikiano kati ya UDA na ODM uko imara na utaendele...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Njuguna Ndung’u aanika Ruto, asema hulazimu mawaziri kufanya anachokitaka kwa woga

ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Prof Njuguna Ndung'u, amemshutumu Rais William Ruto kwa kuingilia utendakazi wa taasisi huru, akisema mtindo huu umezorotesha uwezo wa kutekeleza majukum...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /20 hours ago

Wabunge wa Mulembe wamuitisha Ruto kiti cha Kindiki kabla wapige kampeni ya ‘Tutam’

WABUNGE kutoka eneo la Magharibi wamempa Rais William Ruto orodha ya matakwa wanayotaka yashughulikiwe kabla ya eneo hilo kumuunga mkono katika uchaguzi wa 2027. Miongoni mwa mata...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Ahadi Za Serikali Ya Ruto

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source