Latest updates for Agizo La Ruto Kuhusu Wageni

Fresh curated links around Agizo la Ruto kuhusu wageni are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Ruto aagiza sheria ipitishwe kuzuia wageni kufanya uchuuzi Kenya
  • Ruto ajipalia makaa agizo lake likiweka Wakenya ughaibuni hofu ya kulengwa na waajiri
  • Wageni waingiwa na taharuki tele kutokana na agizo la Rais Ruto

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto aagiza sheria ipitishwe kuzuia wageni kufanya uchuuzi Kenya

RAIS William Ruto amesema kwamba haikubaliki kwa raia wa kigeni kuja nchini kufanya uchuuzi na biashara ndogo ndogo. Anasema wageni wana ruhusa ya kuwa wawekezaji pekee, sio ku...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto ajipalia makaa agizo lake likiweka Wakenya ughaibuni hofu ya kulengwa na waajiri

RAIS William Ruto ameshinikizwa kuhakikisha agizo lake la kuwabana raia wa kigeni wanaojihusisha na biashara ndogo nchini halichochei ubaguzi, chuki au hatua zinazoweza kuwa na mad...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wageni waingiwa na taharuki tele kutokana na agizo la Rais Ruto

MAMIA ya raia wa kigeni wanaofanya biashara nchini jana waligubikwa na taharuki na wasiwasi baada ya Rais William Ruto kuamuru msako dhidi yao hasa wale wanaofanya biashara ndogond...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Ruto afufua mjadala vita ya Afrika kutetea utajiri wake

Soma zaidi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

MAONI: Kenya yafaa iwe kielelezo cha undugu wa Afrika kwa vitendo

KENYA kwa mara nyingine imejipata katika hali ya kutatanisha na inayotishia hadhi na sifa yake Afrika na kwenye jukwaa la kimataifa, safari hii ikiwa ni zaidi ya siasa. Ni mdahalo...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mudavadi asema wafanyabiashara wageni watalindwa

MKUU wa Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewahakikishia wafanyabiashara wa kigeni kuwa wanaweza kuendelea kufanya biashara nchini Kenya iwapo wana stakabadhi zinazohitajika, huku mashi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto kupigia uwekezaji nchini Kenya debe katika kongamano la UNGA

RAIS William Ruto aliondoka Nairobi kuelekea New York, Amerika, Jumamosi usiku ambako anatarajiwa kutumia Mkutano Mkuu wa 81 wa Umoja wa Mataifa (UNGA) kutangaza Kenya kama kitovu...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Ruto awapasha wapinzani, atetea miradi ya serikali yake

Rais wa Kenya, William Ruto amewaonya wapinzani wake akisema watajikuta wakikabiliwa na ushindani mkali wa kisiasa, huku akiwatuhumu baadhi yao kupinga mipango ya serikali kwa kuha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Ruto akamilisha ziara Pwani, awapa mabwanyenye onyo kali kuhusu ardhi

RAIS William Ruto jana alihitimisha ziara yake ya siku nane katika eneo la Pwani kwa ahadi mpya za kutatua tatizo sugu la ukosefu wa ardhi miongoni mwa wakazi huku akionya  mabwany...

Read source
kenyans.co.ke /1 month ago

Ruto Gives New Directives on Foreigners, Warns Against Harassment

Ruto's remarks came amid reports of foreigners facing harassment following the government’s directive, which requires them to regularise their stay and businesses.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto kuangazia masuala ya Kenya akihutubu katika mkutano wa UN

RAIS William Ruto anatarajiwa kutumia hotuba yake katika Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) kuangazia masuala ambayo Kenya inayapa kipaumbele hasa yanayohusu am...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wakenya mpakani Tanzania wadumisha ushirikiano licha ya agizo tata lililohusu wageni

WAKAZI katika mipaka ya Kenya na Tanzania, maeneo ya Taveta na Lunga Lunga wamedumisha ushirikiano wao licha ya matukio ya hivi majuzi nchini yaliyotishia usalama wa wafanyabiashar...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto sasa atumia maafisa wa umma ‘kubembeleza’ Mlima

RAIS William Ruto sasa anawategemea makatibu wa Baraza la Mawaziri na maafisa wengine wa serikali kupeleka ujumbe wa serikali mashinani katika juhudi za kurejesha uungwaji mkono wa...

Read source
kenyans.co.ke /1 month ago

Ruto Issues New Directives on Foreigners Operating Small Businesses in Kenya

Burundi nationals camped outside their embassy for the better part of Monday and Tuesday, hoping to be handed a way back to their country.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Rais kukita kambi Kajiado siku 3 kukagua miradi na kupigia debe ‘rekodi yake ya maendeleo’

RAIS William Ruto ameanza ziara ya siku tatu katika Kaunti ya Kajiado, hatua inayotafsiriwa na wachambuzi kama juhudi za kuimarisha maendeleo na wakati huo huo kujiweka katika nafa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Ruto azindua kauli mbiu mpya, aponda upinzani

RAIS William Ruto amegeuza ziara yake ya siku 10 katika eneo la North Rift kuwa jukwaa la kushambulia wapinzani wake kisiasa huku akiwataka kueleza mipango yao ya maendeleo kabla y...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mahangaiko tele raia wa kigeni wakihofia kuendelea kukaa nchini

HOFU, sintofahamu na wasiwasi zimetanda miongoni mwa raia wa kigeni wanaofanya biashara ndogo ndogo nchini kufuatia agizo la serikali linalowataka warekebishe hati zao za uhamiaji...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto akabiliwa na ugumu wa kuridhisha wapigakura wa Nyanza

RAIS William Ruto anakabiliwa na kitendawili cha kuvutia uungwaji wa wapigakura wa Luo Nyanza, ikisalia miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu 2027. Kilichosawiriwa kama ishara ya...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Vita vya ndani vyatikisa kambi ya Ruto

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto, Gachagua wang’ang’ania kura za Maasai huku Ole Lenku naye akikosana na ODM

VITA vya kisiasa vya kusaka kura za jamii ya Maa vinazidi kupamba moto kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, huku Rais William Ruto na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua wakiongeza ju...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Ruto asema upinzani ‘unampigia debe’ kwa kukosoa miradi yake ya maendeleo

RAIS William Ruto amewajibu viongozi wa upinzani wanaokosoa rekodi yake ya maendeleo akisema kwa kufanya hivyo wanasaidia kuitangaza miradi yake kwa wananchi bila malipo. Akizungum...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Abautani nyingi za Ruto zaibua maswali iwapo ni mbinu ya kusaka uungwaji

RAIS William Ruto amekuwa akitoa matamshi ambayo yanaonekana kuridhisha umma kwenye mikutano kisha kauli hizo zinabadilishwa kutokana na sera kuzimwa na sera ya serikali kukinzana...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ruto: Serikali lazima ipewe nafasi kutekeleza ahadi zake

RAIS William Ruto ameibua mjadala kuhusu nafasi ya Serikali iliyochaguliwa kutekeleza manifesto yake bila kuingiliwa na mahakama. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya 16 ya Katiba...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Onyo kali la Uhuru kwa wakazi wa Mlima Kenya 2027

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amemshambulia mrithi wake Rais William Ruto, akimtaka aache kumlaumu na badala yake kushughulikia matatizo yanayowakabili Wakenya. Akizungumza Jumamosi...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Agizo La Ruto Kuhusu Wageni

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

kenyans.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source