Ruto awapasha wapinzani, atetea miradi ya serikali yake
Rais wa Kenya, William Ruto amewaonya wapinzani wake akisema watajikuta wakikabiliwa na ushindani mkali wa kisiasa, huku akiwatuhumu baadhi yao kupinga mipango ya serikali kwa kuha...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Agizo La Rais William Ruto.
Fresh curated links around Agizo la Rais William Ruto are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Rais wa Kenya, William Ruto amewaonya wapinzani wake akisema watajikuta wakikabiliwa na ushindani mkali wa kisiasa, huku akiwatuhumu baadhi yao kupinga mipango ya serikali kwa kuha...
RAIS William Ruto aliondoka Nairobi kuelekea New York, Amerika, Jumamosi usiku ambako anatarajiwa kutumia Mkutano Mkuu wa 81 wa Umoja wa Mataifa (UNGA) kutangaza Kenya kama kitovu...
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amemshambulia mrithi wake Rais William Ruto, akimtaka aache kumlaumu na badala yake kushughulikia matatizo yanayowakabili Wakenya. Akizungumza Jumamosi...
RAIS William Ruto ameibua mjadala kuhusu nafasi ya Serikali iliyochaguliwa kutekeleza manifesto yake bila kuingiliwa na mahakama. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya 16 ya Katiba...
RAIS Mstaafu Uhuru Kenyatta na Rais William Ruto wameendeleza mvutano wao wa kisiasa huku wakitofautiana kuhusu uchaguzi wa 2027, nafasi ya upinzani na maendeleo ya serikali....
RAIS William Ruto amewatahadharisha viongozi wa upinzani dhidi ya kutumiwa na watu aliowataja kuwa “wadhamini wa kisiasa”, akisema serikali jumuishi itashinda uchaguzi wa 2027 kwa...
RAIS William Ruto amegeuza ziara yake ya siku 10 katika eneo la North Rift kuwa jukwaa la kushambulia wapinzani wake kisiasa huku akiwataka kueleza mipango yao ya maendeleo kabla y...
RAIS William Ruto anazidi kugeuza maeneo ya ujenzi kuwa majukwaa ya kisiasa, akizunguka nchini kuzindua, kukagua na kukamilisha miradi ambayo imekuwa msingi wa ajenda yake ya maend...
RAIS William Ruto alitumia hotuba yake ya kuadhimisha Mashujaa Dei kusuta vinara wa upinzani wakiongozwa na vuguvugu la Linda Mwananchi ambapo aliwakejeli kwa kutafuta mamlaka bila...
RAIS William Ruto alitumia hotuba yake ya Mashujaa Dei kuorodhesha ufanisi wa serikali yake kiuchumi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027, akiahidi kupunguza ushuru, kubuni nafasi zaidi...
RAIS William Ruto anatarajiwa kutumia hotuba yake katika Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) kuangazia masuala ambayo Kenya inayapa kipaumbele hasa yanayohusu am...
RAIS William Ruto ameanza ziara ya siku tatu katika Kaunti ya Kajiado, hatua inayotafsiriwa na wachambuzi kama juhudi za kuimarisha maendeleo na wakati huo huo kujiweka katika nafa...
RAIS William Ruto ameanzisha kampeni za kuimarisha uungwaji mkono wake katika Bonde la Ufa, akilenga kuongeza idadi ya wapiga kura kutoka 5.4 milioni waliojisajili mwaka 2022 hadi...
RAIS William Ruto sasa anawategemea makatibu wa Baraza la Mawaziri na maafisa wengine wa serikali kupeleka ujumbe wa serikali mashinani katika juhudi za kurejesha uungwaji mkono wa...
RAIS William Ruto jana alihitimisha ziara yake ya siku nane katika eneo la Pwani kwa ahadi mpya za kutatua tatizo sugu la ukosefu wa ardhi miongoni mwa wakazi huku akionya mabwany...
RAIS William Ruto amebadilisha ujumbe wake wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, akitilia mkazo usawa, kupunguza ubaguzi wa kihistoria na kugawa rasilimali za taifa kwa haki....
RAIS William Ruto amewataka maafisa wa usalama nchini kuzingatia haki za binadamu, uwajibikaji na utaalamu wanapotekeleza majukumu yao, huku serikali ikiendeleza mageuzi makubwa ya...
RAIS William Ruto amewajibu viongozi wa upinzani wanaokosoa rekodi yake ya maendeleo akisema kwa kufanya hivyo wanasaidia kuitangaza miradi yake kwa wananchi bila malipo. Akizungum...
RAIS William Ruto ametetea vikali rekodi ya serikali yake kuhusu deni la taifa, akisema Kenya imefanikiwa kupunguza kasi ya kukopa ikilinganishwa na tawala mbili zilizotangulia. K...
Soma zaidi...
RAIS William Ruto jana alimrejelea Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kama kiongozi msaliti ambaye alimgeuka na kupuuza maelewano ya kila mmoja wao kuongoza kwa mihula miwili baada ya kuc...
ZIARA ya siku tano ya Rais William Ruto katika eneo la Nyanza kuanzia Jumapili, Septemba 13, imeibua mjadala mpana wa kisiasa huku wachambuzi wakisema ni zaidi ya ziara ya kawaida...
RAIS William Ruto amejitokeza waziwazi kumshawishi mfanyabiashara Suleiman Shahbal kuachana na azma ya kuwania ugavana wa Mombasa, akisema bwanyenye huyo anaweza kulitumikia taifa...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.