Changamoto tele katika sekta ya elimu mitihani ya Kitaifa ikikaribia
ZAIDI ya watahiniwa milioni 3.6 wanaojiandaa kufanya mitihani na tathmini za kitaifa wanakabiliwa na changamoto ya uhaba wa fedha shuleni na tishio la mgomo wa walimu wanaosimamia...