MAONI: Caroli Omondi ni mwanamikakati stadi ambaye hucheza chini ya maji
MMOJA wa wanasiasa ambaye anategemewa kwa mustakabali wa umoja wa upinzani ni Mbunge wa Suba Kusini Caroli Omondi. Zipo sababu kadhaa zinazomkweza Caroli katika siasa Kenya inapoj...