Wadau wapinga hatua ya serikali ya kutaka watalii wanaoingia nchini kuwa na bima ya lazima
WADAU katika sekta ya utalii wamepinga vikali uamuzi wa serikali wa kutaka wageni wote wanaoingia nchi kuwa na bima ya lazima wakionya kuwa hatua hiyo itaathiri nchi kuvutia watali...