Wito Gavana Nassir awajibike baada ya mlinzi wake kuhusishwa na ufyatuliaji risasi
WANASIASA sasa wanamtaka Gavana Abdulswamad Nassir awajibike baada ya walinzi wake kuhusishwa na ufyatuliaji wa risasi uliowajeruhi vijana watatu Changamwe. Kulingana na Kamanda...