Anayeshukiwa kuongoza genge lililotibua mkutano wa Sifuna Homa Bay anyakwa
POLISI wamemkamata Kassim Abdi Sebo, anayeshukiwa kuongoza genge lililolaumiwa kutekeleza wizi kabla ya mkutano wa Linda Mwananchi uliofanyika Homa Bay Agosti 16. Abdi alikamatw...