Vijana 122,000 walionufaika na pesa za NYOTA sasa kupokea mafunzo ya kukuza biashara
ZAIDI ya vijana 122,000 waliopokea mtaji wa kuanzisha biashara kupitia mradi wa National Youth Opportunities Towards Advancement (NYOTA) wataanza mpango unaolenga kuimarisha biasha...