Latest updates for #Sultanijoho

Fresh curated links around #SultaniJoho are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • 2027: Joho, Nassir kupambana na Jicho Pevu mbio za 2027
  • Joho ataka mkataba kwanza na Ruto ndio aanze kuvumisha ‘Tutam’
  • Katibu Fikirini akiri jinsi Joho, Raila walivyomsaidia kupata kazi

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

2027: Joho, Nassir kupambana na Jicho Pevu mbio za 2027

 JOTO la kisiasa limeanza kupanda katika Kaunti ya Mombasa huku vita vya kuwania kiti cha ugavana mwaka wa 2027 vikianza kuchukua sura mpya, hali inayoweka Mbunge wa Nyali Mohamed...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Joho ataka mkataba kwanza na Ruto ndio aanze kuvumisha ‘Tutam’

WAZIRI wa Madini na Uchumi wa Baharini, Bw Hassan Joho, ametangaza sharti la mkataba wa kisiasa kati yake na Rais William Ruto, ili amuunge mkono kwa awamu ya pili ya uongozi 2027....

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Katibu Fikirini akiri jinsi Joho, Raila walivyomsaidia kupata kazi

RAIS William Ruto amesisitiza kujitolea kwa serikali yake kuhakikisha vijana wanapata nafasi ya kuchangia kwa maendeleo ya nchi. Akizungumza katika eneo la Ganze wakati wa ibada...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Barabara telezi kwa Orengo anaposaka ufalme wa Waluo

BAADHI ya wafuasi wake humuita Nyawawa (roho ya waliokufa), wengine humuita Nyatieng (jiwe linaloweza kuua) na kwa wengine yeye ni Wuod Nyamayanga (mwana wa kiume wa Nyamayanga)....

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Viongozi waungana Pwani kuvumisha Tutam

MAWAZIRI wa Michezo na Vijana, Bw Salim Mvurya, mwenzake wa Madini, Bw Hassan Joho, pamoja na Spika wa Seneti, Bw Amason Kingi, wamewahimiza wakazi wa pwani kumuunga mkono Rais Wil...

Read source
kenyans.co.ke /4 days ago

Murkomen, Joho Lead New State Appointments to Various Agencies

Murkomen, Joho and Sakaja have unveiled another round of appointments across key public institutions, with fresh faces taking up influential roles in government.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

OneTam: Ndoana ya Sifuna yanasa Maraga 2027 ikikaribia

ALIYEKUWA Jaji Mkuu David Maraga ameongeza nguvu mpya kambi ya Linda Mwananchi baada ya kuungana na viongozi wake katika juhudi za kuimarisha umoja wa upinzani kuelekea uchaguzi mk...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Maandamano: Gavana Orengo sasa avaa kiatu cha Raila

GAVANA wa Siaya, James Orengo, amejitokeza kama sura ya maasi dhidi ya serikali baada ya kifo cha Raila Odinga huku Wakenya wakiingia kwenye wiki ya kuadhimisha miaka miwili baada...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

SUK Zanzibar kimeeleweka

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

OneTam: Sifuna aidhinishwa kuwa kigogo wa Mulembe

SENETA wa Kakameg,a Boni Khalwale amemuidhinisha Katibu Mkuu wa ODM Edwin Sifuna kama kigogo wa siasa za Jamii ya Mulembe na kusema sasa ana baraka za kuongoza jamii hiyo kuelekea...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Sababu tatu kuu za Sifuna kukwama ODM

UAMUZI wa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kupinga mahakamani hatua ya ODM kumuondoa katika wadhifa wa Katibu Mkuu, unatazamwa na wachanganuzi wa siasa kama mkakati wa kumpa muda, ku...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Zamzam, Masito kibarua kura za 2027 watangulizi wao wote wakiwa wantam

MBUNGE Mwakilishi wa Kike katika Kaunti ya Mombasa, Bi Zamzam Mohamed na mwenzake wa Kwale Bi Fatuma Masito, wanakabiliwa na ushindani mkubwa kuelekea 2027 wakijaribu kuvunja mtind...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Rais Samia ateua wawili yumo Dk Jingu

Dk Jingu anachukua nafasi ya Profesa Elisante Gabriel ambaye amestaafu utumishi wa umma.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

MAONI: Sifuna ajue amekuwa mkubwa kuliko anavyodhania, achunge

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna ni kati ya watu ambao majina yao yanasakurwa mno katika mitandao nje na ndani ya Kenya baada ya kutifua vumbi kubwa la fikra za kimapinduzi nchini....

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Sifuna: Mimi si mradi wa kigogo yeyote, tunachangisha pesa za mikutano kupitia Mpesa

KATIBU Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna, amekanusha madai kwamba anafadhiliwa kisiasa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ili kudhoofisha utawala wa Rais William Ruto huku uchaguzi mkuu wa mwa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Viongozi wamtetea Katibu wa UDA Omar

VIONGOZI mbalimbali wa kisiasa na kijamii wamejitokeza kumtetea Katibu Mkuu wa UDA, Hassan Omar, kufuatia wito wa baadhi ya watu kutaka ajiuzulu kutoka wadhifa wake. Akizungumza...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Seneta lawamani kwa kusahau ‘waliomsaidia’

BAADHI ya wajumbe wa Chama cha ODM akiwemo Katibu wa ODM Voi, Bw Hassan Mwaniki, wamemlaumu Seneta Jonnes Mwaruma wakidai amewatenga licha ya kumsaidia uchaguzini, akilenga kuwania...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Aladwa awarai wanachama wa ODM wasusie maandamano Saba Saba

BAADHI ya viongozi wa ODM katika Kaunti ya Nairobi wamewataka wafuasi wao wasishiriki maandamano ya Saba Saba ambayo yanapangwa kufanyika hapo kesho. Wakiongea Nairobi Jumapili,...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Omtatah: Muungano wa Otuoma, Ojamoong haunibabaishi

SENATA wa Busia, Okiya Omtatah, amesema kuwa hateteshwi kisiasa na yanayoendelea katika Kaunti ya Busia huku akifichua kuwa kamati aliyobuni kutathmini ufaafu wake wa kuwania urais...

Read source
kenyans.co.ke /1 week ago

Sakaja Told to Join ODM to Retain Nairobi Gubernatorial Seat

According to ODM officials, UDA will not guarantee Sakaja's re-election, stating that only ODM can make him governor in 2027.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ken Obura: Sihitaji ODM kushinda ugavana 2027

ALIYEKUWA Waziri Msaidizi, Ken Obura ametangaza kuwa hana shughuli na chama cha ODM na atawania wadhifa wa ugavana Kisumu kama mgombeaji huru. Haya yanajiri huku wagombea tisa w...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Hisia kali Maraga akikamatwa kwa kuandamana kupinga utwaliwaji ardhi ya mbuga

JAJI Mkuu Mstaafu David Maraga Jumatatu alikuwa kati ya watu walionyakwa wakati wa maandamano ya amani ya kupinga mpango wa serikali kuanzisha kituo cha kuwatunza wanyama katika mb...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 days ago

Jhanda sasa adai wakazi wa Keumbu walichokozwa na Linda Mwananchi

MBUNGE wa Nyaribari Chache, Zaheer Jhanda, amevunja kimya chake kuhusu uvamizi dhidi ya msafara wa viongozi wa Linda Mwananchi katika Soko la Keumbu, Kaunti ya Kisii, zaidi ya wiki...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Huenda Ruto akawafuta kazi mawaziri ‘wataalamu’ wa ODM

LICHA ya wito kutanda kuwa mawaziri John Mbadi (Fedha) na Opiyo Wandayi (Kawi) wajiuzulu wakati wa maandamano ya kupinga bei ya juu ya mafuta wiki hii, maswali yameibuka iwapo Rais...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering #Sultanijoho

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

kenyans.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source